Media Shop

Media Shop inawawezesha Content Creators (Watengeneza Maudhui) kuuza content zao na kuwaruhusu wateja kudownload hizo content kama bidhaa baada ya kufanya malipo.

Aina ya Content unazoweza kuuza ni kama Stock Footage (Video), Stock Photographs (Images), Audio / Miziki / Instrumentals, LUTs, Documents, E-Books, Graphics / Design Assets, Software, Applications n.k

Hakikisha Content unazouza ni za kwako au unazimiliki wewe.

BONYEZA HAPA KWENDA MEDIA SHOP WEBSITE | CLICK HERE TO VISIT MEDIA SHOP WEBSITE